Posted on 22 March 2011
SAKATA kati ya Rais wa Masharobaro ‘Bob Junior‘ na msanii Cyrill imechukua nafasi nyingine, baada ya Rais huyo kudai hamfahamu Cyrill.
Kupitia Facebook Cyrill amempa kubwa Bob Junior ambaye pia ni producer anayemiliki studio za Sharobaro Records.
“Inawezekanaje kumtafuta mtu usiemjua?? alafu unafanya interview maelfu wanakusikiliza unasema humjui mtu uliyemuomba aje afanye track na wewe tena kwa kuomba kwelikweli….harufu ya umaaarufu inawaponza watu kama hawa….kweli jamaa ana feli sana na hata kuifanya hiyo Sharobaro ichukuliwe kivingine. Sina bifu na jamaaa nilikua nataka kusolve situation ya miaka mitatu nyuma na yeye ila nimegundua ni vigumu kusolve situation na sh*ga..” Alisema Cyrill.
Sakata hili lilianza baada ya Rais wa Masharobaro alipopigiwa simu na kituo cha Radio cha Clouds Fm na kudai kuwa hamfahamu msanii yoyote anayeitwa Cyrill.
cyrill achana na shoga uyo atakupotezea mda wako coz anatka awe juu kupitia beef man