
Posted on 28 March 2011
BENDI ya FM Academia “Wazee wa Ngwasuma” imeanza maandalizi ya albamu yao ya mwaka 2012, ambapo itakwenda kwa jina la ”Chuki ya Nini”
Jina la wimbo uliobeba albamu umetungwa na rais wa bendi Nyoshi El Sadaat, huku nyimbo nyingine zitakazokuwemo ndani ya albamu hiyo zimetungwa na wasanii wa bendi hiyo.