
LADY JAY DEE FT MR BLUE – WANGU
[Audio clip: view full post to listen]
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency pia Mratibu wa Miss Tanzania Hashim Lundenga akizungumza kwenye uzinduzi huo uliofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski Dar es Salaam.
Kampuni ya Vodacom usiku huu imezindua rasmi shindano lake la urembo la Miss Tanzania kwa kipindi cha maka 2011. Pichani meneja udhamini wa kampuni hiyo George Rwehumbiza amesema kuwa [...]
Hii ilikuwa ni interview iliyofanyika on TAKE ONE kupitia CLOUDS TV ambapo Wema Sepetu aliongea anachokikumbuka kutoka kwa kanumba ambae aliwahi kuwa mpenzi wake. Pia aliongelea uhusiano wake wa sasa na msanii Diamond aka Raisi Wa Wasafi.
KWA HISANI YA ZAMARADIMKETEMA.BLOGSPOT.COM
NSANII Fid Q anatarajia kutambulisha rasmi kitabu chake alichokipa jina la ‘Swahili Kid’ (Mtoto wa Kiswahili). Ishu nzima itakamilika mwezi wa nane, ndani ya kitabu hicho Fid ameelezea na kushare experience yake kwenye game nzima ya muziki, tangu alipoanza mpaka alipofikia hivi sasa.
Msanii wa filamu nchini Steven Kanumba akizungumza na waandishi wa habari kuhusu filamu yake mpya ‘devils kingdom’ aliyomshirikisha msanii nyota kutoka nigeria, Ramsey Noah (kushoto)
Ramsey, Kanumba na wanahabari walipiga picha ya pamoja
Noah, Said Makala (Channel 10) Kanumba
MSANII wa mahiri wa filamu kutoka nchini Nigeria Ramsey Noah anatarajiwa kuonekana katika filamu mpya iliyotayarisha hapa nchini inayokwenda [...]