
Posted on 12 April 2011
Bob Junior aka Mr. Chocolate Fleva aka Rais wa Masharobaro leo mchana aliibuka mjengoni Clouds FM kwenye kipindi cha XXL na kusema kuwa kuna watu watatu wanaomtishia maisha na amewachukulia RB yao. Watu hao aliowataja kwa jina la Diamond aka Rais Wa Wasafi, Shetta pamoja na Meneja wa Shetta anaitwa Shabaha.