EXCLUSIVE INTERVIEW: WEMA SEPETU AONGELEA UHUSIANO WAKE NA DIAMOND, MIPANGO YA BAADAE NA MENGINE MENGI….!
28 April 2011

Posted on 28 April 2011

Hii ilikuwa ni interview iliyofanyika on TAKE ONE kupitia CLOUDS TV ambapo Wema Sepetu aliongea anachokikumbuka kutoka kwa kanumba ambae aliwahi kuwa mpenzi wake. Pia aliongelea uhusiano wake wa sasa na msanii Diamond aka Raisi Wa Wasafi.

KWA HISANI YA ZAMARADIMKETEMA.BLOGSPOT.COM

Tags ,
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

5 Comments

  1. idrisa bandali says:

    tunaisubiri kwa hamu ngoma mpya hyo ya byser TILALILA coz tunataka kufahamu ujio mpya sasa wa byser baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu katika industry ya muziki huu wa bongo ladha

  2. Ayoub peter says:

    Ajipange zaidi, game liko tait kwa sasa

  3. peter oscar says:

    jaman FID Q ndo mpano mxima,,ireal apriciate him.

  4. mosha neema says:

    safi sana dada kwa ubunifu wako iyo nayo stageof life.

  5. Paschal Luziga says:

    Jacquelin acha kujiuza dunia imeisha mama


LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!