TAFRIJA YA SHINDANO LA BIG BROTHER @ NYUMBANI LOUNGE
02 May 2011

Posted on 02 May 2011

Pichani  Juu na chini ni watanzania wakifurahia na kumshangilia kupitia Big Screen iliyokuwa ukumbini hapo baada ya kumwona mshiriki wa shindano la Big Brother Amplified kutoka Tanzania anayetuwakilisha Binti Machachari mcheshi aliyekuwa mtangazaji wa Kipindi cha Nirvana kinachorushwa na Kituo cha EATV Lotus alipoitangaza Tanzania vyema wakati kujieleza na Kuiuza Tanzania kwa kutaja Mlima Kilimanjaro pamoja na Kisiwa cha Zanzibar.



Kushoto ni Millard Ayo kutoka Clouds FM akiwa na  Mkurugenzi wa Masoko (TFF) Jimmy Kabwe.

KWA HISANI YA WAJANJA CLUB

Tags , , ,
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!