WEMA SEPETU VS RAISI WA MASHAROBARO
07 May 2011

Posted on 07 May 2011

Bifu kati ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Bob Jonior a.k.a Rais wa Masharobaro sasa lafika mbele ya Sheria, Wema amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni kwa kosa la kumtukana Bob Junior.

Wema alikiri kutukana matusi hayo baada ya kuulizwa na hakimu kama mashitaka aliyosomewa ni kweli au si kweli. Kauli yake ilikuwa:- “Ni kweli nimemtukana lakini ilikuwa hasira tu,”.

Kesi itatajwa tena Mei 18 mwaka huu kwa ajili ya kusomewa maelezo ya awali na mshitakiwa yupo nje kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana.

Tags ,
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

8 Comments

  1. espe says:

    polesana dada.wema hiyo itaisha.mimi nimerci kutoka .amercan .nilikuwanataka kukupapoletu.

  2. HASSAN says:

    mazee huyu mtoto lina mkali

  3. jacqueline says:

    pole sana wema tulia. vijana siku hiz nadhani wanaigiza mapenz ya ughaibuni has kitendo cha Diamond kumvalisha pete hadharan kwenye starehe badala kwenda kwa wazee, huo sio utamaduini wetu na Wema ujifunze kwa hilo dumisha utamaduni wako jamii itakujali na utapata mchumba wa maana.Tulia na usipende kuongea mambo yako hadhran pind upatapo hasira ona umepelekwa mahakamani kama sinema fulan wewe ni wa thamani chunga mdomo wako na utulie wanaume wa maana wapo watakuoa. pole kwa matatizo Wema

  4. michael says:

    Tulia dada yangu wema wewe ni binti mzuri sana achana na vijana masharobaro tafuta hata mtu wa makamo akuoe na utatuliza moyo wako, hao vijana eti masupa star walivyo na tabia chafu , mwangalie mashoga zako walivyoachwa na wale wanaojiita masharoibaro

  5. Kagi says:

    Wema wewe ni binti mrembo sana,i dont know if ma heart iz telling me ukweli…nahis kwa diamond uliamua kutulia japokuwa yeye aliamua kukutenda…am sure u gona get a nice husband who will take gud care of u na akakuthamini…i wish i could cu physically ns kisha nkaongea na wewe vizuri…I hate what Diamond did to u…!

  6. zamba says:

    wema just take care cause
    u can never run bongo entertainment
    don’t you seen the girls who beauty
    than you so focus for what you do
    and pop to your

  7. ally said says:

    come on guys

  8. Gladness Nicodemas says:

    Wasanii wa bongo inabidi m2lie mfanye mambo ya maana ckendo za kila cku haziwanufaishi chochote


LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!