“BABY MAHADA” KUFUNGA NDOA HIVI KARIBUNI…..!!
12 May 2011

Posted on 12 May 2011

Msanii Baby Madaha anatarajia kufinga ndoa hivi karibuni. Jina la anayemuowa bado halijapatikana ila inasemekana anaolewa na mtoto wa mwanasiasa maarufu hapa nchini.

“Ni kweli naolewa lakini mme mtarajiwa hataki mambo ya vyombo vya habari so ikifika muda muafaka tutatoa taarifa “ alisema Madaha baada ya kuhojiwa kwa  njia ya simu

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!