Posted on 13 May 2011
Msanii nguli katika tasnia ya filamu Bongo, Irene Uwoya, alfajiri ya Mei 8, mwaka huu, alijifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Regency iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam.
Irene alifunga ndoa mwaka 2008 na mchezaji wa soka la kulipwa nchini cyprusHamad Ndikumana katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, aliwahi kutoa kilio cha kusaka mtoto alipohojiwa na Mtangazaji Zamaradi Mketema wa Kipindi cha Take-One kinachorushwa na Clouds TV.
i like to congatuate to irine uwoya 4get a baby boby,hongera sana na mungu akukuzie mwanao inshaallah.
HONGERA, sana dada hiyo ni hatua kubwa katika maisha.
hongera dada hiyo ni hatua kubwa
Congratz irene.
Ongera sana dada irene kwa kupata BABY BOY.
Kiukweli tunakukubali kwenye filam unazocheza uko juu ile mbaya
mimi napendaga sana filamzenyu naingekuwa vizuri nikaziona
congrats irene…just be a gud mother always..!!
CONGRAGULATION MA SISTER.YOU ARE NOW A MOTHER TAKE CARE OF UA BABY.PLZ SEND TO ME SMC IF IZS TRUE.
hongera jamani,,,,,,,,,,, ni hatua nzuri hiyo dada, BE A GOOD MOTHER.
ya gud jamany i lyk uuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Hongera sana dada umeonyesha mfano bora wa kuigwa na wasanii wengine, kwanza kiuwigizaji upu juu sana. Pili unajipenda Tatu, unatumisha mila kwa kufuata utaratibu wa Kitanzania.Ubarikiwe sana dada yangu kwa hilo.
waoooh!hongera ma dada,i like ur life style,be gud with yo son.
nampenda mtoto wako na wewe pia jamani. nawapenda sana
i appriciate u irene.keep it up
nkpnd xn irene….n nkuombea kwa mngu mpngo yko yote ya maisha yaende sawa..lov u alt momy..
Mmmmmmh sioni ni neno gani unalostshili zaidi ya hooooooooongera saana Mungu amkuze BABY KRISH.
Nakupenda sn irene na inshaallah allah atakupa kila la kheri katika maisha yko
kiukweli upo juu sana kuliko wenzako jitahidi na be care fuully maana wasanii wengine wakishajiona wapo juu basi wanadharau kazi zao kuwa makini nao sana na epuka marafiki wanafiki wengine hawapendi maendeleo ya mtu .So kuwa makini na kazi yako na ndoa yako pia mungu akubariki dada angu
Big up kwa Erene
Irene anakubalika sehemu zote c kwa mavazi, uzuri, uingizaji na ushauri pia