Kwa kwel wanachefua hasa mavaz wanayovaa hakuna chochote tunachojifunza ktk maisha yao ya nje ya sanaa zaid ya skendo za mapenz na kushindana kufanya ukahaba!
kiukweli wasanii wabongo wengy wao wanakera bt wema n wolper mnadatisha fanyeni job pamoja cic kitaa mbona 2nawakubalin xana wanawake na maendeleo acheni street junguz
We mwenyewe hujui English
hi,boy stop say dat couse u don’t know jackile wolper she the one of the beutifull guls of bongo movies