
Posted on 17 May 2011
Kiota kipya kinafunguliwa rasmi kesho maeneo ya Sinza mori karibu kabisa na kituo cha basi.Leo hii nimebahatika kujionea jinsi kiota hicho jinsi kilivyo kwani kimejitosheleza haswa kwa wale wapenzi wa soka kwani kuna Tv mbalimbali zimefungwa humo na projector kubwa kabisa bila kusahau mziki wa kutosha,Haya Wadau kazi kwenu sasa kiota kingine hicho kwa wapenda soka

Plasma za kutosha zipo ndani

Sehemu za kukaa ndani

Viti safi kabisa

Club

Eneo la nje
KWA HISANI YA RAY THE GREATEST