Posted on 17 May 2011
Mrembo Wema Sepepu aliyefanya mahojiano kwa njia ya simu na Zamaradi Mketema kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM kwenye segment ya Muvi Leo amekanusha uvumi ulioenea mitaani kuwa ameachana na mpenzi wake Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz.
Binti umechemsha yaani wema umeishiwa
hivi mbona unapenda kujiachia achia kwa kila mwanaume? uzuri wako unakudanganya jamani, pole! una ugonjwa wa kupenda ninii mwenzetu
mumy wala usiwasikilize watu fanya kitu ambacho kwako unaona inakufaa mwaya hao ndo wahuni mpk basi….nakuunga mkono sana tu mumy achana na watu ndo kazi zao watasema usiku wanalala.lav u mwaaaaa
Akili teke tu,u shud think sustainably u guyz,life iznt a reheso
Piga mambo mamaaa Wema maisha yenyewe mafupi
tena uzingatia wanaume pia wachache!!!
wema sio wema tena. you may need to weigh your statement/words b4 you put open to media, otherwise you will be sucking your fingers.anyway entertain yourself baby, goodluck.
emma
wema usiendeshwe na mapenzi jaribu kuyaendesha ww