Posted on 29 May 2011
Msanii mkali wa Bongo Flava nchini anayejulikana kama Diamond Platnumz hivi karibuni amefunguka kuwa yuko mbioni kufungua duka la nguo maeneo ya Kinondoni jijini Dar Es Salaam. “Yote hayo ni matunda ya Bongo Flava” alisema Diamond
Dah platnumz k2 cha lala salama tisha sana mtaan kaka
Diamond 2ko pamoja sana HILO DUKA TAYARI LIMESHAFUGULIWA AMA RAA
diamond uko juu duka lako nalipata.
ongera
Hongera platnumx
eh bwana wolper ni mrembo kii chizi
da m2 wngu nakukubali sna 2
Mbona litakuwa na pamba safi!
dah mkali wangu we n noma bana tisha kitaa una wamaliza maboya kina bob junior hawanalolote we mkal bro big up sana we luv u halaa n me bizzle lx pande za msm
yo platnz,y are the best one in tzania evry dys i gtin in u ste,kn snt u nmber fne? im sgle by,and i tlk swhill,ingls nd portuges my ofcl lguag.hullllllll
he yo pltunz th is my fn nmber 865100023, im MOVTEL work in mzambik pemba,hulll
Yap! Utaweza kuhudumia hili duka?
Tisha sana DP toka Mbagala mpaka Goodlife we wa noma sana
Honger san diamond
Kama kawa sema platnumz bby
halala platnum ww noma
dah ure da bext kaka platnumz are 4rever
Upo juu xna una hit kweny chat
congratulation for the shop,haya twembie duka likowapi?coz i normally come to DAR,I can passby and see if i can find something good of ma self.
@Haffy said:da sji nkwamb aje the way navyokk bl nimeanzsh kund lang la undr 18 la wasaf/watanasht
We mkali jamaa lakini ?usije ukaingia freemason amini MUNGU AMEN.
Hata mimi nakukubari umetukoseya sana kuona haukufika bukavu congo tulikuwa nakucunga kwahamu.