Posted on 03 June 2011
MUIGIZAJI mahiri wa filamu kwa hapa nchini Jackline Wolper (pichani) yupo Jijini Mbeya katika kurekodi filamu kali na ya kusisimua inayojulikana kwa jina la “God is Great” kutoka kampuni ya utayarishaji wa filamu mkoani humo ya Mbeya Film Production, Jack akiwa na wasanii wengine kutoka jijini Dar es Salaam tayari ameshafanikiwa kurekodi baadhi ya scene za filamu hiyo na kuikubali hadithi hiyo jinsi ilivyotungwa. Jackline ansema kuwa kila atakayeiona filamu hiyo lazima amkubali kwani ameicheza vizuri sana.
kwa kweli katika muvi hii katika mavazi amejitahidi
you are doing great thing
Namkubal ile mbaya wolper,naamin ngoma itatsha.
Nakukubali kinoma unatisha dada
AISEEE WE NI MKALI
NAKUZIMIA DADA WE NINOMA
duuuu………..we acha.
am hongera we nimkali cku zote unatisha ile mbaya mungu akusidie ufike unapotaka
hellow my mumy umetokelezea ile mbaya i like it,but sorry mumy naomba nitumie namba yako na mi nina kipaji cha kuigiza mi namba yangu 0714935923
aisieee! nakupa big up xana bibie we mkal
Wale wapenzi wa filamu kaeni mkao wa kula kuna bonge la TV SHOW, KIPO JIKONI jina FILM FAIR TV SHOW Kwa maelezo zaidi LIKE PAGE na uanze kudondosha COMMENT zako juu ya nini kifanyike ili kukuza tathininia ya filamu TZ Kwa pande zote mbili za MOVIES na MUSIC VIDEO ,like na comment sasa kama wewe ni mdau wa kweli wa filamu