
Posted on 04 June 2011
Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Filamu ya CHUMO, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Haji Mponda akitoa hotuba ya uzinduzi wa Filamu hiyo inayoelezea athari za ugonjwa wa Malaria,Uzinduzi huo umefanyika usiku huu katika hoteli ya Movenpick jijini Dar.

Mtengenezaji Kiongozi wa Filamu hiyo, Jordan Riber

Stelingi wa Filamu hiyo, Jokate Mwegelo akizungumza na waandishi wa habari namna alivyoweza kufikisha ujumbe kwa jamii juu ya ugonjwa Malaria


HABARI/PICHA NA MCHUZI BLOG