WASANII TUNACHAPA KAZI KUBWA LAKINI KIPATO KIDOGO – YUSUPH MLELA…!!
23 June 2011

Posted on 23 June 2011

Msanii Yusuph Mlela amefunguka na kusema kuwa sanaa inalipa lakini tatizo ni maproduza, akifafanua zaidi alisema kuwa maproduza wamekuwa wanyonyaji wa wasanii ndani ya nchi, kwahiyo unakuta wasanii tunachapa kazi kubwa lakini kipato kinakuwa kidogo sana. Na hii ndio sababu inayokatisha tamaa wasanii wengi, mbali la maproduza Mlela alisema kuwa pia wezi wa kazi za wasanii nao wamekuwa kikwazo kikubwa katika tasnia hii. Hata hivyo Mlela anaiomba serikali kuangalia namna ya kupunguza unyonyaji huu kwa wasanii wa ndani ya nchi ili kuokoa ukuaji wa wa sanaa nchini.

Tags ,
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!