
Posted on 30 June 2011
Takribani mwezi mmoja uliopita, Professor Jay (The HeavyWeight MC) aliachia wimbo wake wa kwanza kutoka katika album yake mpya inayotarajiwa kuingia kitaani baadae mwaka huu.

When life gives you lemons, you gotta make lemonade

Maisha mafungu saba

Prof. Jay with Shetta

Eliano, on one of the scenes. “Pesa ilipoota mbawa”.











Adam Juma and Jeff Msangi
SOURCE: BONGO CELEBRITY