Posted on 09 July 2011

Majaji wakiwa mezani pao wakati wa fainali za kucheza za Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaam. Mshindi alikuwa Mary Khamis, wa pili alikuwa Laila Mshana wa tatu walikuwa Hawa Miraji na wa nne Mariam Mwakyoma

Wanenguaji wa Twanga wakipumzika baada ya kupepeta

Jaji mkuu wa mpambano huo Papaa Amos Msanjila (shoto) na jopo lake

Mary Khamis akitupa karata yake ya mwisho jukwaani kabla ya kutangazwa kuwa mshindi

Mariam Mwakyoma akipepeta juu ya meza

Mariam Mwakyoma akipepeta mbele ya majaji

Walioingia tano bora

Sehemu ya umati ulioshuhudia

Asha Baraka akimpa kidali po Sauda Simba

Mary Khamis akiwa na washindi wa pili na wa tatu, Laila Mshana (shoto) na Hawa Miraji
Picha Zote na Ankal Michuzi
kimwana manywele yuko poa.
Jamani kuonyesha hiyo mititi nje ndiyo nini,mambo yaliyokuwa hayana maana zamani eti siku hizi ndo yana maana ili mradi shetani amridhise kila mtu, mititi mikubwa eti siku hizi ni fashion,ama kweli watu wameoza japo kwa nje wanang’aa ,jamani mwogopeni Mungu. by Matonya msanjila