AISHA MADINDA AHAMIA EXTRA BONGO…!!
19 July 2011

Posted on 19 July 2011

BENDI ya Extra Bongo kwa mara nyingine tena imeibomoa The African Stars ‘Twanga Pepeta’ baada ya kumnyakua mnenguaji wake mahiri Aisha Madinda, ambapo mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali Choki alimtambulisha Madinda kwa waandishi wa Habari.

Choki alisema Madinda amejiunga na Extra kwa matakwa yake mwenyewe , na tayari ameshaanza  mazoezi na bendi hiyo wiki mbili zilizopita.

Habari na Mama Pipiro

Tags ,
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!