VIDEO YA WASANII WA BONGO FLAVA INAYOHUSIANA NA SEHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA YAZINDULIWA…!!
20 July 2011

Posted on 20 July 2011


Mwenyekiti wa Chama cha Wanamuziki Tanzania (Tanzania Flava Unit), Mwana FA (katikati) akizungumza na waandishi wa habari juu ya uzinduzi wa video yao mpya inayohusiana na sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania, mkutano huu ulifanyika Leaders Club jijini Dar. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Hicho, TID, na kushoto ni Mjumbe wa Chama hicho, Keysher.



Msemaji Mkuu wa Tanzania Flava Unit, Said Fella akiwatambulisha viongozi waandamini wa chama hicho.



Wasanii pamoja na waandishi wa habari wakiiangalia video hiyo.

Source: Michuzi

Tags , , , ,
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!