Posted on 22 November 2011
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Sshhhh,classic classic..
Keeping the good music alive,
That’s me job,
You my sunshine my moonlight and everything I dream about,
Linah,let’s go..
Chorus..
Yalaiti,napenda pasi kifani/
Tofauti,sikutilii moyoni/
Sikuachi,leo na kesho peponi/
Anh anh anh anh anh anh I love you/
Verse I
Sambaza love kama dawa/
huachi mpaka napagawa/
hata ukisema mi sio Hamis natingisha kichwa/
mapenzi yako yanielemea ka chupa nzima ya tequila/
usirushe somo nakupenda acha masihara/
ina haja gani unishikie fimbo ili nikuskize ka gorilla/
mi ni mtu na mapenzi yangu nishaacha zamani usela/
una matatizo najua,na mi nna yangu boo/
we sit together from this moment,we see them through/
nikikukosea nisute,nipige vibao,nizodoe/
ninunie kwa siku kadhaa ila nnachoomba usinikimbie/
mapenzi ya utemi kwangu hadithi mambo ya kizamani hayo/
ukiniudhi ntapiga kwa khanga ndio nimefunzwa hivyo/
utaoga mabusu nikufute kwa kumbatio/mpaka kama nikisafiri ukinikumbuka iwe kilio/
sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe/
usinikatae utaniumiza mi nna biashara na wewe/B…
Chorus..
Verse II
Nshasema sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe/
usinikatae utaniumiza mi nna biashara na wewe/
ushaangaliwa niunge tela usingoje mpaka uambiwe/
ushaangukiwa anguka nawe usizubae mpaka irejewe/
kwako ntakuwa Bushoke sitajiuliza ka zezeta/
yetu yawe mahaba mapenzi zamani tumepita/
mi sakafuni we ukingoni mbio zangu haziendi mbali/
una moyo wangu ntapenda bila kujali/hata marefa wana timu zao mama panga matokeo/
pambano lianze najua goli ngapi ngapi leo/
usiache kuvaa nguo ndefu hivi vimini achia vicheche/
mwanamke kwetu staha tunaovipenda sio wote/
akili haziuwezi moyo na wenyewe una ubongo pia/
hauwezi ukafuatafuata kila utakachouambia/
nitajiwapo mapenzi naipata picha yako kwanza/
natamani uipate yangu na iwe inakuliwaza/
Linah..
Toa shaka na wasiwasi moyoni/
Toa shaka na wasiwasi moyoni/
Kukuepuka hilo haliwezekani/
Takushika,leo na kesho peponi/
yani mmebambajeeeeeee,Mwana FA mistari hiyo, inalizaaa!!! Lina chorus umeitendea haki vibayaaaaa!!!im speechless!!! nasikia kulia tu hapa……..
daaaah mi sjui hata niseme nini Fa!hata mamangu mzazi huwa anajuaga naishi kupitia mziki wako,hakuna siku ipitayo bila kukuwaza una ubongo wa aina gani brother…ukiniuliza my number one favourite artist in Africa mi huwa siku zote we ndo wa kwanza wangu….daaaah mwanangu nna mengi ya kusema lakini sina la kusema kazi nzuri braah……im stil alive because of yo music….IT’S CLASSIC!
WE ACHA TU DORAH! HIYO NYIMBO MI CJAPATA WASAA MZURI KUISKIZA LAKINI HAYO MASHAIRI CJUI NISEME NINI…..FA NILIYEKUWA NAMUHESHIMU TOKA ENZI ZA INGEKUWA VP,MABINTI,ALIKUFA KWA NGOMA,UNGENAMBIA,HAWAJUI,SIKU HAZIFANANI,ASUBUHI,HABARI NDO HIYO,UNANIJUA UNANISKIA….NDO HUYU HUYU NINAYE ZIDI KUMUHESHIMU KWENYE YALAITI……EEEH MUNGU FA AISHI MIAKA MINGI…KWANI THE WAY ANAVYOISHI ANANIPA NGUVU YA KUISHI PIA…KWANI MAISHA YANGU HUWA YANA STEP KWENYE LINE ZAKE KWA KIASI KIKUBWA! WELL DONE BOOOOY!
MWANA FA UKO JUU TU SANA UNAKUBALIKA UNARIDHISHA UNALIWAZA FUNZA NA BURUDISHA NAKUPA MARA ZOTE!!!!!!
ebanae unatisha bro yaani iyo ngoma inatisha naikubali haipiti cku bila ya kuisikiliza bro.inatisha.nawapa hi wanafunzi wote wa st augustn univasty mwanza eunucu siraji,Ezdol.U dom itoba dickson na wanangu wote wa VIKINDU ttc dar mwaka wa pili.
aiseeee nimewakubali mbaya kaka upo juu kwani unanifuraisha coz unafanya mziki na kitabu umepiga.big up.
linah.. that chorus is amaising!
Dah!..ebana yan mmebamba ile mbayaaaa…na sauti ya ndege mnana pale mwisho hatari!!!
da mwanafa ulifunika leders umepigwa busu na nilijisikia ka niwe mimi da upo juu
sina swali kaka big up sana ..mpini upo wima…