THE MAKING OF DIAMOND’S NEW VIDEO “MAWAZO”…!!
07 December 2011

Posted on 07 December 2011



Hii ni utengenezaji wa video mpya inayokuja ya msanii wa bongo fleva Diamond Plantinum wimbo unaojulikana kwa jina la Mawazo. Location hizi unazoziona kwenye picha ni maeneo ya Mbezi Beach huku akiwa anauza sura na gari aina ya Mercedes Benz SL500. Video imefanywa na Visual Lab Dir akiwa ni Adam Juma.








Video and Image Credit: DJ CHOKA

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

13 Comments

  1. majaliwa onuho godfrid says:

    high standards ………….keep up the swag.

  2. Paul says:

    Diamond kwa ukweli naipenda sana musik ye unaimba.Big up man.Paul,zambia

  3. Hassanow says:

    Mia mia ndgu diamond huo ndio usani cku zote ucmzalau mdeja anaekuweka mjin habari ndio hiyo utakuwa umeelewa.

  4. Thomas sonde says:

    diamond anauza sura hana lolote.

  5. RAMI MAU says:

    kaka kaza buti madem awana mana pacha wko hapa

  6. ayubu says:

    kaka kiukweli unajitahidi ila jaribu hata kubadilisha muondoko kidogo kuliko hata watu kukukariri kuwa we miondoko yako ni ya aina flan tu na kwamba bila ivo hauwezi tofauti na hapo. mi ndo hilo tu.

  7. mtot wa kitaa says:

    oya big up mtoto wa mjini ila acana na awomademu tafuta mtot ambaye katuliya

  8. pretty kittyonce says:

    i real appreciate u diamond,ur real talented dia 1.yan kaz zak haubahatishi hata 1 day.i real love ur songz.big up!1 lv

  9. kitah says:

    i lyk the yo music,u rock 4sure…..kip t up

  10. kitah says:

    i lyk yo music,u rock 4sure…..kip t up

  11. a bway says:

    MUZIKI WAKO HAUNA MAANA, NENDA KAWE STEDISHOO WA BAIKOKO TANGA,…..

  12. canneth christina says:

    bhana ww jembe no 1lyk u ktk iyo tasnia bhana tisha mbaya

  13. Hailey says:

    Yo Diamond I luv all of ur music n u gotta a cute voice 4sure 4sure u were born to sing dammm keep up tht talent bro.Enjoy ur life. And thank god for the talent he gave u cuz u are awesome mshukuru mungu kwa kupa hayo maisha tht u r livin and most of all enjoy ur life


LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!