Posted on 22 February 2012
Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na wakipeana mikono jana jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kupatana na kumaliza kwa tofauti zao zilizotokana na sababu za kimuziki zilizodumu kwa takribani miaka miwili.
Wapatanishi wa mgogoro huo Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto) na Mbunge wa Singida Mashariki Mh. Tundu Lisu (kulia) wakishuhudia (pichani).
thanx dartalk