PHOTOS: MSHINDI WA SHINDANO LA ‘VAA, IMBA, CHEZA KAMA RIHANNA’ APATIKANA…!!
09 April 2012

Posted on 09 April 2012

Mshindi wa kwanza, mrembo Like Abraham (kulia), akipokea hundi ya Shilingi milioni 10 kutoka kwa Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric James Shigongo.



Mshindi huyo (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Wellu Sengo (kushoto) na mshindi wa tatu Zalha Sadallah.



Like (katikati) akiwa na majaji wa shindano hilo Salehe Ally (kulia) na Baby Madaha (kushoto).



Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo, akiwa  na ‘Kina Rihanna’ kabla shindano kuanza.



Majaji wa shindano (kutoka kushoto) Salehe Ally, Baby Madaha na Eric Shigongo, wakiwa kazini.





Shabiki akiwasha mshumaa kumkumbuka mcheza sinema, marehemu Steven Kanumba.




Mchekeshaji Bambo akitoa burudani




Mchekeshaji Mtanga nae alitoa burudani kali



Like Abraham usiku wa kuamkia leo aliibuka kidedea katika shindano la ‘Vaa, Imba, Cheza kama Rihanna’ ambalo lilifanyika katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala  jijini Dar es Salaam na kufanikiwa kujinyakulia Shilingi milioni 10. Kabla ya shindano hilo kulikuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo Bambo, Mtanga na H. Mbizo.

PICHA NA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY/GPL

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!