ETI “WEMA SEPETU” ALITAKA KURUDIANA NA MAREHEMU KANUMBA…!!
10 April 2012

Posted on 10 April 2012

BAADA ya kutokea kwa kifo cha kinara wa filamu Tanzania Steven Kanumba, malkia wa skendo Wema Sepetu, amekaliliwa akisema kuwa tayari walikuwa na mpango wa kurudiana kimapenzi na Kanumba kwani siku mbili nyuma kabla ya kifo chake walikuwa tayari wameanza kuwasiliana.

Wema alitoa kauli hiyo pindi alipokuwa akizungumza na waandishi mbalimbali wa habari nyumbani kwa marehemu Vatican Sinza.

“Yani Kanumba ni mtu ambaye alinitoa katika tasnia hii ya filamu, na tayari tulikuwa tumeanza kuzungumza juu ya kurudiana katika mahusino yetu yani sijui niseme nini naumia jamani,” alisema huku akitokwa na machozi pamoja na kwikwi.

Na Laurent Samatta

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

14 Comments

  1. martin stanley says:

    that is amaizing!!!!

  2. neema hamis says:

    jaman 2sali xana kwa mungu

  3. lucy msengi says:

    we usijali mungu atakupa hafueni girl

  4. Frank shadrack says:

    Daaaa…..!!! pole sn ccter wema haikua bahat yak 2najua ulmpenda nac 2lmpenda pia ila mwenyez mungu amempenda zaid na 2namombea kwa baba akaisha mahal penye utakatfu eemeenn……

  5. Meyna says:

    POLE WEMA

  6. Fetty says:

    Ooh pole sana wema bt dnt wory cz utapata mwngn bt kaa ukijua kua mlipendeza ile mbaya bt ndo ivyo tena imeshatokea

  7. mustapha hassan says:

    tujiandae kwa mwenyezi mungu ni marejeo.kifo chakuja ghafla hamna akitambuaye.

  8. ZAINAB says:

    ikiwa me mshabiki wa film za Kunumba, nimepata mshtoko!
    vp Sis Wema ambae alikuwa akitarajia kurudiana nae?
    inauma sn!
    pole my sis Wema.

  9. George Mvungi says:

    Wema sijakuelewa kurudiana mfunge ndoa au” napia una wangapi Diamond utampleka wapi siutumie matango kuliko kuwapanga wanaume wengi hivyo

  10. Emma says:

    MAY YOUR SOUL REST IN PEACE

  11. Shabani hassan says:

    Wema mbona nawewe ni kigeugeu aueleweki yaani upo upo 2.

  12. elizabet says:

    ndugu jalibu kutulia sana utapata mtu mbora kuliko kurukaruka hata Mungu apendi

  13. delah.sezerangende says:

    Wema Sepetu hey l am going to meet you one day

  14. delah.sezerangende says:

    llive australia


LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!