AUDIO TRACK: MAN BATOO – LOOP IT
22 April 2012

Posted on 22 April 2012

Pata kuskiliza kwaito jipya la Rudbwoi Batoo toka pande za Chugatown, ikiwa ni noizmekah.com exclusive kwaajili ya party goers wote Tanzania, hii pia ni kwa hisani ya JamDropa DeejaysDj Mido & Deejay P. Projects zetu kama kawaida zinaendelea, nikiwa kama event organiser ningependa kutoa bigup kwa Hiphop City a.k.a ChugaTown kwa kusupport wasanii wao kila 2napoandaa jamsession pande zetu!!!Hii kwaito ni project ya kwanza katika JamDropa Riddim Vol 1, ambayo inasimamwa kwa ukaribu zaidi na “Batoo Entertainment”, Artist yeyote atayefeel kurecord kwenye this beat awasiliane nasi kupitia page yetu ya “Batoo entertainment” katika facebook kisha 2tamtumia beat kwaajili ya kurecord!!Much respect kwa media zote including websites & Blogs, Jaaaaaah blesssss!!!

MAN BATOO – LOOP IT

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!