PHOTOS: MISS CHANG’OMBE 2012 KUMEKUCHA…!!
23 April 2012

Posted on 23 April 2012

Warembo wanmaotarajia kuwania umalkia wa mashindano ya Miss Chang’ombe 2012, wakiwa katika mazoezi ya awali jana kwenye viwanja vya Hoteli ya Lamada, Dar es Salaam.



Mwalimu wa warembo hao,Vumilia Willbrod akiwaelekeza jinsi ya kusimama walipokuwa wakipiga picha ya pamoja wakati wa mazoezi hayo.



Mratibu wa mashindano hayo, Thom Chilala (kushoto), akitoa somo kwa baadhi ya warembo watakaoshiriki Miss Chang’ombe.

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!