PHOTOS: MAZOEZI KUMTAFUTA MISS UKONGA 2012 YAKIENDELEA…!!
30 April 2012

Posted on 30 April 2012

Baadhi ya warembo wanaowania taji la Miss Ukonga 2012 wakiwa katika pozi.



Mmoja wa washiriki akiwaonyesha wenzake pozi la kusimama.



Washiriki wakisikiliza kwa makini.



Lundenga akiongea jambo kwa washiriki.



Salha Israel (wa pili kulia) akiongea.



Warembo wa Ukonga wakiwa katika picha ya pamoja.

Mashindano ya kumtafuta Miss Ukonga 2012 kitongoji cha jijini Dar es Salaam, yanendelea kwa kasi katika Ukumbi maarufu Hiltec uliopo Ukonga, Banana,  jijini Dar es Salaam ambapo warembo hao wanadai kila moja atakuwa mshindi katika shindano hilo.

Mazoezi hayo yalishuhudiwa na Miss Tanzania wa sasa, Salha Israel, na Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga. ambao walitoa ushauri kadhaa kwa warembo hao. Fainali ya mazoezi hayo itafanyika Mei 5 mwaka huu katika Ukumbi wa Wenge Guarden ulipo Ukonga FFU.


Source: http://www.globalpublishers.info

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!