Posted on 01 May 2012
Hapa Diamond akiwa Terminal 1 tayari kwa kupanda chopper

Diamond Platnum akiwa na Rubani wake wakielekea kwenye chopper.

Akitoa saluti kabla ya kupasua anga.

Hapa akipiga sala kabla ya chopper kunyanyua.

Kiota cha burudani cha DarLive kwamuonekano wa juu, maelfu ya mashabiki wakishubiri raisi wa wasafi atue.

Hapa akipagawisha mashabiki na wireless mic kabla ya kutua.

Mzuka wa mashabiki.

Mashabiki wakisubiria atue chini.

Mashabiki.

Hapa akitoa saluti kwa rubani wake baada ya kutua.

Diamond akisalimia mashabiki

Mashabiki wakiwa na mzuka.

DarLive ikiwa full

Diamond Platnumz akiwa kwa stage

Akiendelea kutoa burudani

Pamoja na mvua kunyesha, mzuka uko palepale.

Picha Zote na Global Publishers
upo juu diamond keep it up
wow man it’s full mzuka
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa dimond nommmmmmmmmmmmmaaaaaaaaaa
yaaan daaaaaah dia……mond u rock ile mbayaa……….!!!!!!!!!
Dar live ni funika bovu,ila dimond ni nooma sana na yupo juu!