MREMBO “HILDA EDWARD” ANYAKUA TAJI LA “REDDS MISS USTAWI WA JAMII 2012″….!!
05 May 2012

Posted on 05 May 2012

Redds Miss Ustawi wa Jamii 2012, Hilda Edward katikakati(pichani) akipunga mikono baada ya kutwaa taji hilo usiku wa kuamkia leo katika Shindano kali lililofanyika katika Ukumbi wa Maisha Club jijini Dar es Salaam, akiwa pamoja na Mshindi wa Pili na watatu wa shindano hilo Nancy Wiliam na Ndenisia Mbowe. Washindi hawa wataungana  na washindi wa vyuo vingine katika Fainali za Redds vyuo vya elimu ya  juu baade mwaka huu na kupata mshindi atakae wakilisha wasomi hao  Fainali za Redds Miss Tanzania 2012

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!