AUDIO TRACK: JIWE FT SUDI BAYA, DACHI MASHINE, DAVI D & AMINI – NDO WALEWALE
06 May 2012

Posted on 06 May 2012

JIWE FT SUDI BAYA, DACHI MASHINE, DAVI D & AMINI – NDO WALEWALE

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.



daaaaaaaaaaaaaah wananiitaga Jiwe Mwanakijiji, kikubwa ni kushare zawadi yangu ya siku ya kuzaliwa kwangu ambapo nitakuwa nikifanya hivyo siku ya jumapili tarehe 6 may na kila tarehe 6 may kila mwaka ndo “Jiwe” huwa anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa, kama hivyo ndivyo kwa roho safi naachia ngoma yangu mpya ambayo inakwenda kwa jina la ‘Ndo Walewale’ ambayo imefanyika Shine Productions chini ya producer Mr T Touchez, katika ngoma hii nimewashirikisha Sudi Baya meneja wa studio ya shine productions, Dachi Mashine mmoja kati ya wakali ambao wanauwezo wa kuimba kwa ufasaha sana na kuchana kwa ufanisi mkubwa, pia nimewashirikisha wakali wawili toka pale THT hapa namzungumzia Davi D na Amini mi hupenda kumuita Nduli b’se ndo jina lililomfanya akaingia kwenye  game. Ngoma hii iko kisiasa zaidi na najaribu kueleza hisia zangu kwa siasa hii ya maji taka inayoendelea nchini kwa sasa. Sapoti yenu ndo kila kitu katika kuifanya ngoma hii kuwafikia walengwa ambao ni wanajamii wa taifa hili la tanzania ambalo mi hupenda kuliita taifa la ‘Wadanganyika’. Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu na hii ni zawadi yangu ya siku yangu ya kuzaliwa kwenu nyooote ONE LOVE FELLAZ.

Jiwe

Tags , ,
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!