PHOTOS: ELIZABETH PETER NDIYE MISS UKONGA 2012…!!
11 May 2012

Posted on 11 May 2012

Miss Ukonga 2012, Elizabeth Peter (katikati) akitabasamu kwa hamasa muda mfupi baada ya kuvalishwa taji la kitongoji hiko,mshindi wa pili ni Marry Chizzi (kulia) na mshindi wa tatu ni Stellah Moris (kushoto).



Warembo wakitumbuiza kwa show ya kudance ikiwa ni hatua ya awali ya ufunguzi wa shindano hilo, mwishoni wa wiki .



Jumla ya warembo wote wamesimama mbele ya jukwaa wakisubiri maamuzi ya majaji.



Hi ndiyo tanio bora ya Miss Ukonga 2012.

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!