AUDIO TRACK: BOUNAKO – JEMBE LA KASKAZINI
15 May 2012

Posted on 15 May 2012

BOUNAKO – JEMBE LA KASKAZINI

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.



Mzee mzima D Double anayejulikana vema zaidi kama BouNako a.k.a Jembe la kaskazini anadondosha dudeee brand new kwa fans wote wa hiphop duniani..hii ndio “Jembe la kaskazini” ikiwa ni single inayofata “Mara Hoo” ambayo imefanya vema mtaa na media kwa miez mitatu ilopita, “Game ni gumu tangu enzi za baba zetu likini kukata tamaa sio suluhu wala haisaidii, nakomaa kwa maana mashabiki zangu ndio wananipa nguvu ya kutifua” hii ni zawadi kwenu kwa support yenu kununua T-shirt za J.E.M.B.E na iko wazi mimi sio kitu bila ninyi, skilizieni more tingz zinakuja “walete” pamoja na “acheni”.

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!