“FLAVIANA MATATA FOUNDATION (FMF)” KUTOA MSAADA WA VIFAA VYA KUOKOLEA MAISHA MAJINI…!!
20 May 2012

Posted on 20 May 2012

Mwanamitindo mahiri wa kimataifa Flaviana Matata ambae in founder wa Flaviana Matata Foundation (FMF) amekuja nchini akitokea nchini U.S.A ambako ndiko anapoishi  kwa sasa mahsusi kwa ya ajili ya kugawa msaada wa vifaa vya kuokolea maisha majini (Life Vests)  ikiwa ni miaka 16 tangu meli ya MV Bukoba izame ambapo mama yake mzazi alifariki kwenye ajali hiyo, anatarajia kugawa msaada wa vifaa hivyo Jumatatu ya 21 May jijini mwanza.

Tags ,
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!