
Posted on 23 May 2012
Walimbwende wanaowania taji la Redds Miss Chang’ombe 2012 wakiwa katika picha ya pamoja iliyopigwa muda mfupi baada ya kumaliza mazoezi yao jana katika ukumbi wa TCC Chang’ombe jijini Dar. Warembo hao 11 wanatarajia kupanda jukwaani mapema mwezi ujao kuwania taji hilo na kukupata tiketi ya kushiriki Miss Temeke 2012.