DIAMOND KUANGUSHA SHOO MJENGONI KATIKA ‘BIG BROTHER EVICTION SUNDAY’…!!
24 May 2012

Posted on 24 May 2012

Mkali wa bongo flava, Naseeb Abdul Alhaarufu kama ‘Diamond Platinumz’ anatarajiwa kudondosha shoo pande za SA wakati baadhi ya washiriki wa Big Brother Star Game watakapokuwa wakitolewa kwenye mashindano hayo, siku ya Jumapili Mei 27 mwaka huu.

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

One Response

  1. jesus wallpaper says:

    God bless!


LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!