FINA REVOCATUS NDIYE ALIYENYAKUA TAJI LA REDD’S MISS IFM 2012…!!
26 May 2012

Posted on 26 May 2012

Mshindi wa Redd’s Miss IFM 2012, Fina Revocatus (katikati) akiwa na Mshindi wa Pili, Jane Augustino (kushoto) na wa Tatu Theresia Issaya muda mfupi baada ya kumalizika kwa shindano lao hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal, Ubungo Jijini Dar.



Hii ndio top 5.



Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Diamond akifanya vitu vyake wakati wa onyesho hilo la urembo.

Photo Credit: Michuzi

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!