PHOTOS: NOELA MICHAEL ANYAKUA TAJI LA REDD’S MISS TABATA 2012…!!
02 June 2012

Posted on 02 June 2012

Mshindi wa Redd’s Miss Tabata 2012, Noela Michael (katikati) akiwa pamoja na mshindi wa pili, Diana Simon (kushoto) na wa tatu, Wilhemina Mvungi (kulia) muda mfupi baada ya kumalizika kwa kinyang’anyiro hicho, kwenye ukumbi wa Da’ West Park, Tabata jijini Dar.



Mshindi (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wengine wa tano baada ya kumalizika kwa kinyang’anyiro hicho.



Kumi bora



Washiriki wote wakipita kwenye stage



Vazi la ubunifu



Vazi la ufukweni



Burudani kutoka wa warembo



Burudani kutoka kwa Isha Mashauzi.



Meza ya majaji



Miss Tanzania 2011/12, Salha Israel akiwa pamoja na Jeniffer Kalokola mshindi wa tano wa Miss Tanzania 2011/12.



Watu waliofurika kushuhudia mpambano. (Image Credit: Mtaa kwa mtaa Blog)

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!