AUDIO TRACK: GENTRIEZ MWAKITABU FT CHALII MTOTO WA BIBI – NINA KILA SABABU
03 June 2012

Posted on 03 June 2012

GENTRIEZ MWAKITABU FT CHALII MTOTO WA BIBI – NINA KILA SABABU

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.



Gentriez mwakitabu ni msanii wa Hip-Hop kutoka kundi la River Camp Soldiers jijini Arusha. Alianza mziki mwaka 2003 kupitia talent shows na free stage hasa zile za Via-Via. 2008 aliingia studio na kurecordi wimbo wake wa kwanza uliokua unaitwa Mandamano Ya Haki ambao hauku fanikiwa kufanya vizuri..then 2011 hapo ndipo nyota yake kidogo ilipoanza kuonekana baada yakuachia .uliofanya vizuri kuanzia mtaani hadi kwenye radio statiotion tofauti. Pia wimbo huo ulikuja na mafanikio kadhaa kama, alipatiwa jina la Arusha boy pia akafanikiwa kufungua clothing line ya Arusha Boy clothing line chini ya Wanene Entertainment.. 2012 ameachia wimbo wake mwingine unakwenda kwa jina la ‘Nna Kila Sababu’ aliomshirikisha msanii mwingine kutoka kundi la Jambo Squad Chalii Mtoto Wa Bibi au Nigga C.. humo ndani utaskia michano mikali kama “naota mabawa kwenye mv bukoba kisha napaa” nakadhalika..

Watu wakae tayari kwa ujio wa video ya wimbo huo itakayo toka hivi karibuni.. Pia unaweza kuskiliza na kudownload bure nyimbo kibao zake zote alizowahi kuzifanya  ONLINE kupitia:  HTTP://WWW.REVERBNATION.COM/GENTRIEZMWAKITABU

Gentriez mwakitabu mpaka sasa ameshaafanya kazi na wasanii wakubwa kama  Nakaaya, G-Nako, Bonta, [Weusi]. Def Xtro[NOIZMEKAH], Belle9, Nah Reel, Mensen Selekta, Jors Bles,Mona Gangsta na wengine wengi. Gentriez Mwakitabu yuko chini ya Record Label ya Wanene Entertainment iliko jijini Arusha inayo milikiwa na founder and C.E.O Darsh Pandit.

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

One Response

  1. humphrey says:

    hapo fullu arif


LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!