Posted on 13 June 2012
Ina sebule mbili, Moja ni TV Room na ya pili ni Sitting Room. Hii juu (pichani)ni TV Room na chini (pichani) ni Sitting Room


Hiki ni chumba cha Wema Sepetu, kina Dressing Table mbili, Massage Chair pamoja na Mini Saloon.

Anachumba pembeni ambacho ni kwa ajili ya viatu na nguo.

Hapa ni sehemu maalum ya kufanyia interviews mbalimbali.

Sehemu ya Dining

Wema akiwa amepozi kwenye TV Room

Picha zote na Martin Kadinda (Wema’s Manager and Spokesman)
Ah!! Gud house mashALLAH
dats greeeeeeeeeeeeat kip on doing sooooooo
You are my inspiration Wema..no matter how many times people talk bad things about you..You are a HERO!..you hava a golden heart!! i love you my daughter!..stay blessed!
i alwayz lve u chimamy na sna tatizo na ww it`s me mayla young sis
Congratulation Wema! u did well in our society according 2 ur title,much respect 2 u,keep it up. Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
i am pruod of yuo for what u have achiev in uor goalseek so keep up
baby girly love ya mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa11111111111
jamani WEMA kweli hii ni nyumba yake au nia f………….
WEMA kama hiyo nyumba niyako much respect dadaz so mwaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
Big up mama i respect u, keep on unawaumiz
WEL DON SEPETU WW NI MFANO MZUR WA KUIGWA.LOV U CC
mashalah zote hizo ume pata wapi bibiee ama una mradi mwingine kutoa muvi ma ana bongo muvi haija fikia hatua hizo zakulipa kiasi hicho kwasasa.Hebu 2weke wazi kuhusu hilo bana
greater, keep it up!!!!!!
i love wema sepetu movies so much and i love her house iko muzuri sanaaaa!
i lv t me cc bata wala na pa kulala unapojua ni pako unapo…wel done wema
love you no matter what…
Wema mama umetisha nakupenda xana big up
umejipanga mama
ANA NYUMBA NZURI LAKINI MBONA ANA PIGA PICHA ZA UCHI OVYO? AU HAJALIZIKA NA ALICHO KIPATA>? NA KAMA HAJALIZIKA MBONA SANAA ALIYO NAYO INA MTOSHA NA KUMFIKISHA MBALI. ABADILIKE
sure hakika wema sepetu utazidi kuwa msichana bora Tz coz unajua ni kipi chakufanya 4 ze right time nime hikubali your house mama
Congratulation i like that style of your house
safi sana wema unatisha mungu akubariki,tunaomba na wengine waige mfano wako big up.
dah; hongera dada uko juu