
Posted on 25 June 2012
Mrembo Diana Hussein (kati) afanikiwa kunyakua taji la Miss Dar Indian Ocean 2012 alifuatiwa na Kudra Lupatu (kulia) na Zulfa Vuai (kushoto). Shindano hili limefanyika ndani ya Kijiji Cha Makumbusho Dar es Salaam [Photo Credit : KajunaSon]