“KUOLEWA NI KUJITAKIA UMASKINI” – JINI KABULA…!!
05 July 2012

Posted on 05 July 2012

WAKATI wengine wakiamini kuolewa ni moja ya mafanikio katika maisha, msanii Jini Kabula, kwa upande wake amedai kuwa kuolewa ni moja ya njia ya kukaribisha umaskini kwani wanawake wengi hulazimika kuzaa hata kama hawajapanga.

Akizungumza na DarTalk msanii huyo alidai kuwa wanawake wengi wanaofunga ndoa huwa wanalazimishwa kuwa na watoto kabla ya kujipanga kuwa katika mazingiza mazuri ya kulea familia inavyostahili.

Alisema kuwa kwa upande wake hafikirii kuishi na mwaume kwani hataki kujizeesha mapema badala yake ataishi kwake hadi pale atakapoona maisha ya kibachela yamemshinda.

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

One Response

  1. Usega says:

    Tatizo wanawake wa kileo wanataka wawe last say ktk nyumba,sijui ndo utandawaz?


LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!