
Posted on 05 July 2012



Baadhi ya washiriki wanaowania taji la Miss Utalii Kinondoni 2012 wakiwa katika mazoezi ya catwalk ambapo fainali za shindano hilo ni july 14 mwezi huu katika hoteli ya travertine iliyopo magomeni jijini Dar es salaam, jumla ya warembo 15 wanachuana siku hiyo.