“NATAKA KURUDI SHULE” – ROSE NDAUKA…!!
06 July 2012

Posted on 06 July 2012

MKALI wa filamu ya ‘Love Me or Love Me Not’, Rose Ndauka, amesema kuwa anafikiria kurudi shule ili aweze kuongeza elimu itakayomsaidia katika harakati zake mbalimbali za kuwika kitaifa na tasnia hiyo.

Msanii huyo kwa sasa anaelimu ya kidato cha nne hivyo anaamini endapo atarudi shule kusomea masomo ya sanaa yataweza kumpeleka katika kiwango fulani anachokihitaji.

Akizungumza na DarTalk mkali huyo alidai kuwa baada ya kumaliza kitado cha nne alisitisha kwa muda masomo na badala yake akajikita kwenye tasnia ya filamu lakini anaamini ipo siku atarudi darasani.

“Elimu yangu ni kidato cha nne na siyo kwamba sikutaka kuendelea hapana bali niliamua kufanya filamu na baadae niweze kurudi lakini naweza kusema kwamba shule zipo hivyo natengeneza chapaa kwanza.” alisema Ndauka.

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

5 Comments

  1. miriam says:

    rudi mama kwani elimu haina mwisho wazo zuri gud nakuombea katika masomo yako!

  2. chandrakant says:

    i hope ni mawazo ya kimsingi sana uliyoamuua kwani elimu siku zote haidanganyi, sorry honestly i admire sana wewe dada kwa kila unachokifanya kwenye movies zako natamani sana one day kukuona kwa macho live, best wishes make a move lady

  3. chandrakant says:

    elimu haidanganyi, time is like a sliperly bird when it goes never comes back, huu ndio muda binti, frankly i quite appreciate and admire whatever unachokifanya kwenye movies zako natamani one day kukuona live, make move lady

  4. jaqlululu says:

    tym z lyk a flower if it had been touchd , with a lot of people it wil be in a bad condition .All in all u can make it if ur serious. All de best

  5. Mckayla says:

    Alwyz eduction haina mwsho kama umeamua hvy ni wazo zuri , wish u all tha best on wht u going to do


LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!