
Posted on 09 July 2012
Mkurugenzi Miss utalii Kinondoni, Bw. Methuselah Magese akizungumza na jopo la waandishi wa habari katika ufunguzi rasmi wa shindano hilo ambalo litafanyika katika hoteli ya Travertine tarehe 20 julai jijini Dar.

Meneja wa Hotel ya Travetine, Mr.Mtweve akitoa maelezo ya kina kwa waandishi wahabari jinsi wanavyokaa nao warembo hao.

Mwalimu wa dance akionyesha manjonjo na warembo wa Miss Utalii kinondoni 2012 mbele ya waandishi wa habari .

Baadhi ya washiriki wa shindando hilo.
