MISS UTALII KINONDONI YASOGEZWA MBELE KUPISHA MWEZI MTUKUFU…!!
17 July 2012

Posted on 17 July 2012

Shindano la kumsaka myange wa Utalii wilaya ya Kinondoni 2012 limesogezwa mbele kutokana na kuanguangukia mwanzoni mwa mfungo wa ramadhani ambapo kamati husika imetoa tamko la kusogeza mbele shindano hilo kupisha mfungo mtukufu wa ramadhani ambao unaanza mwishoni mwa wiki hii.

Chanzo cha habari kinasema kuwa sababu kuu ya kuhamisha tarehe husika ya shindano toka tarehe 20 julai mpaka iddi pili mwezi wa nane ni kuondoa taswira tofauti ambapo baadhi ya washiriki na wanakamati kuwa waumini wa dini ya kiislamu hivyo kamati ikaona vyema kupeleka mbele shindano hilo ambapo limekua gumzo jijini Dar es salaam.

Taarifa kamili kuhusu tarehe shindano hilo itatangazwa rasmi kupitia vyombo vya habari hivi punde, tunaomba radhi kwa usumbufu ila tumefanya hivyo kueshimu taratibu za kidini hususani kipindi hiki cha mwezi mtuku wa ramadhani.

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!