NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA USHINDI WANAMICHEZO WA TANZANIA OLYMPIC 2012…!!
18 July 2012

Posted on 18 July 2012

FFU watoa wito kwa watanzania kuwapa shavu wanamichezo wetu Olympic watanzania wameombwa kujitokeza kwa wingi katika kuwashingilia wanamichezo watanzania wanaoshiriki katika michezo ya Olympic huko London, wito huo umetolewa na bendi maarufu ya Ngoma Africa aka FFU, yenye makao yake Ujerumani. Bendi ya Ngoma Africa inawaombea mafanikio na ushindi wanamichezo wa Tanzania, Tuwaomba watanzana na marafiki wa Tanzania pamoja tahasisi mbali mbali zilizopo Uingereza na ughaibuni kujitokeza kwa wingi na kuzipeperusha bendera za Tanzania kwa kuwashingilia wanamichezo wetu, kwa shangwe, shangwe na mayoe ! Tanzania ! Tanzania! Tanzania! oyeeeeeeeeeee! Mungu wabariki wanamichezo wetu! www.ngoma-africa.com

Mungu Ibaraiki Tanzania

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!