PHOTOS: LISA JENSEN AELEKEA NCHINI CHINA KUWANIA TAJI LA MISS WORLD 2012…!!
18 July 2012

Posted on 18 July 2012

Miss World Tanzania 2012, Lisa Jensen akipunga mkono wakati akiondoka katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akielekea nchini China kushiriki shindano la Miss World 2012. Lisa anaiwakilisha Tanzania katika shindano hilo.



Lisa akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga (hayupo pichani).



Lundenga akimsindikiza Lisa kwenda kukaguliwa tayari kwa safari ya nchini China.



Lisa akiwaeleza jambo Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto) na Afisa Habari wa Kamati ya  Miss Tanzania, Hidan Rico



Lisa akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga



Lisa akiwaeleza jambo Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto) na Mkuu wa Itifaki wa kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye.



Hashim Lundenga akisalimiana na mama mzazi wa Lisa Jensen wakati wa kumsindikiza mrembo huyo.

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!