VIDEO YA UTUPU YA “AGNES MASOGANGE” YAVUJA MTANDAONI…!!
20 July 2012

Posted on 20 July 2012

BAADA ya kuandamwa na skendo kibao za kutoka na vigogo kisura wa video za wasanii wa bongo, Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange, ameonekana kwenye mkanda wa picha ya ngono ambao umesambaa mtaani huku ikiwa dili kwa watu wanaotaka kuona umbo la mwanadada huyo.

Mkanda huo unaomuonesha mwanadada huyo akiwa mtupu, huku utata mkubwa ukizunguka kujua ni kitu gani kilichosababisha hadi kusambazwa kwa video hiyo.



Agnes katika pozi

Mtandao wa DarTalk, ulifanikiwa kupata video hiyo ambayo mwanadada huyo ameonekana na kijana mmoja ambaye bado hajafahamika jina lake. Baadhi ya videos za bongo flava ambazo amewahi kuong’aa ni pamoja na ‘Magube gube’ ya Barnaba , Masogange ya Belle9 na nyingine nyingi.

Baada ya kupatatikana kwa video hiyo mtandao huu ulijaribu kumsaka Agnes ili kufafanua uwepo wake ndani ya video hiyo lakini hakuweza kupatikana kwenye simu yake ya mkononi.

Na Laurent Samatta

Tags
< PREVIOUS POST
NEXT POST >
Most Read News

75 Comments

  1. Alcomax says:

    Uzuri wa kitu anao m2 na upuuzi wake uko pembeni yake.Agnes jaribu kuwa muadilifu kwa utamadun wa kiafrica coz uzungu unakualibia.

  2. waynecleaf says:

    amepigapicha hizo kwathumunilakujenga au kubomoa.

  3. LUSITA FERDIE says:

    SIO MBAYA KWAN CHA AJABU KIPI

  4. LUSITA FERDIE says:

    MHHHHHHHHHHHHHH KWELI DUNIA IMEKALIBIA MWISHO

  5. Florence says:

    Tatizo wanadada wanahic tukiona shape zao ndo tutavutiwa kuoa,c kweli.jiheshimuni

  6. Gidion Nemes says:

    Kwa nin serikali isiwachukulie hatua wasichana wa namna hiyo?

  7. omi noma says:

    hiki ni kitendo cha uzalilishaji wa mwanamke,na hifai kuigwa katika jamii

  8. Gerald wazael says:

    Hv kweli wazazi wake atawaweka ktk dunia gani maana hii fedhea inaenda kwa wazazi wake siyo yeyeee!! tujiheshemu hii ndio dunia.

  9. Val mc.Coy says:

    Kwel ukubwa sio mwili ni akili 2,we mwenzetu unazamchina fulu kuiga

  10. Issah Aly says:

    Huyu c wa kulaumiwa kwan tatzo umackin na hana malez bora ya kimaadil

  11. Maua katembo says:

    Utaweka wapi sura yako kwa jinsi ulivyoumbuka??!kila unapopita ni sawa na uko uchi hujavaa nguo!sijui ni pombe ndizo zilizokutuma kufanya huo upuuzi au ni maamuzi yako binafsi!akili ni nywele kila mtu ana zake,nahisi mwanamke mwenzangu we umenyoa upara!

  12. Bosco chuwa says:

    Uwo sio utamadun!

  13. ALI MAKTUBA says:

    tatizo nchi zetu hazifuati dini kamili kudhibiti uc hafu kama huuu

  14. Imma says:

    Super star kujizalilisha ni aibu tupu unaifundisha nini jamii.

  15. fnyendikuu says:

    thamani yako imekwisha. yaani namaanisha unathamni tena

  16. Wiz says:

    Dah fanya mpango uiuze cd yako labda utatoka ka kim

  17. joseph george says:

    tanzania bila kuiga haiwezekani na wabongo wanaiga wasifiwe kumbe ndo wanajiharibia sifa yao PAMBAFU

  18. sammy bahati john says:

    wanatafta njia ya ktokea bt sio hyo wanayotaka kptia….

  19. lawrence ernest says:

    kizuri chajiuza kibaya chajitembeza

  20. Erick Sayi says:

    MUNGU amsamehe na asirudie tena “hakuna mtu mkamilifu” nawashauri madada wa kibongo muache makuu,dharau Na Usanii ndipo mtakapoonyeshwa upendo wa kweli

  21. felisiani says:

    selikali nayo imependa kuwepo kwa tabia hiyo.

  22. Nassy says:

    Wa2 wamemkubal ndo maana kajiachia!

  23. eve says:

    jarbu kubadirka dada angu co vzuri mumy

  24. geoph says:

    pga kazi mdada, hadi kieleweke…

  25. Acassio says:

    Huo ni upotovo wa nithamu


LEAVE A COMMENT

NOTE: To comment it is better that you have a gravatar account.
You can get a free gravatar account by clicking here.








SEARCH DARTALK

Copyright © 2011. DarTalk.com . All Rights Reserved. Site by NEXUS  |   BACK TO TOP!