
Posted on 06 August 2012
J4C FT ROMA – HAKI ZETU
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
J4C na ROMA wadai haki zao na si kivingine wala nini bali kimuziki na pande za noizmekah.com ndo jikoni mwa madai yote haya. This is a track about how much Tanzania needs change politically, socially, economically na sisi vijana kupitia sanaa yetu ya music cha zaidi tupeane support siku ya iddi mosi pande za stadium arusha kwenye Summer Jam ya Mambo Jambo Radio so this is an official release ya ‘Haki Zetu’ mimi nimepita verse ya kwanza na ya tatu then ROMA kapita verse ya kati katika ii pini. one love to all ma fans. Def Xtro